Muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za wakuu wa idara Pangani umeanza kuvutia, ukiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha maslahi ya watumishi wa umma.
Nyumba hizo zitakapokamilika, zinatarajiwa kuongeza ari ya utendaji kazi, kurahisisha upatikanaji wa makazi bora na kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa