Ujenzi wa jengo la Utawala Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani,(Mkoma) ,Ujenzi huu una thamani ya Shilingi 3,425,885,533.50 kwa mujibu wa mkataba, ambapo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Shilingi 1,000,000,000, Fedha kutoka Serikali kuu zimetengwa kuendeleza ujenzi (Wing two).
Aidha, kwa sasa Mradi umekamilika upande mmoja (Wing one) na unaendelea kutoa Huduma, kwa Wananchi.
Huku ujenzi wa Upande wa Pili (Wing Two) , ukiendelea, na sasa Mradi upo katika hatua za upandishaji wa kuta.
#panganimpya
#hakunakilichosimama
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa