Leo tarehe 6 Agosti 2025, Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ngazi ya kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Pangani wameendelea kupatiwa mafunzo rasmi ili kuwaandaa katika kusimamia kwa ufanisi zoezi la uchaguzi linalotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
Mafunzo hayo yanatolewa kwa lengo la kuwawezesha wasimamizi hao kuelewa majukumu yao, taratibu na sheria za uchaguzi, pamoja na namna ya kushughulikia changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza wakati wa mchakato wa kupiga na kuhesabu kura
.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa