Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe Jaji Rufaa ( Msaafu) Mbarouk Salimu Mbarouk akisaini kitabu cha wageni mapema leo tarehe 22 Februari 2025, alipo wasili Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kwaajili ya uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura, linalotarajiwa kuanza tarehe 01 Machi 2025 hadi 07 Machi 2025.
" KUJIANDIKISHA KUWA MPIGA KURA NI MSINGI WA UCHAGUZI BORA ".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa