"Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Bw. Isaya M Mbenje, kulia alipotembelea banda la Biashara za Kilimo,Viwanda,Utalii na Uchumi wa Blue,leo Septemba 19, 2023, Wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Wafanya Biashara, Pangani,
Lengo la Maonyesho haya ni kuendelea kuhamasisha Wafanya Biashara kuwekeza Pangani na kuonyesha bidhaa zao za kilimo biashara pamoja na Utalii.
Wafanya Biashara wamepata nafasi mbalimbali za kutangaza bidhaa zao.
#karibupangani
#wekezapangani
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa