Leo tarehe 7 Agosti 2025, Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Pangani, Ndugu Juma Mbwela, ameongoza kikao muhimu kilichowakutanisha pamoja viongozi wa vyama vya siasa katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Mkoma.
Lengo la kikao hicho ni kujadili maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa