Mapema leo Jumamosi Juni 14, 2025 Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mhe. Zainab Abdallah amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe. Gift Isaya Msuya katika viwanja vya Shule ya Msingi Mwembeni, Wilayani Pangani tayari kwa kukimbizwa katika miradi ya maendeleo.
Mwenge wa Uhuru utakagua, utazindua na kuweka Mawe ya Msingi Miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani Pangani.
Kaulimbiu " Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu"
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa