Timu ya Watumishi Pangani inatarajia kucheza na timu ya Watumishi Singida leo tarehe 21 Agosti 2025 saa 8:30 Mchana kwa saa za Afrika Mashariki katika uwanja wa Tanga School, Jijini Tanga, ikiwa ni mwendelezo wa Mashindano ya Shimisemita 2025.
Kauli mbiu: Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo ya michezo ".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa