Wataalamu kutoka Tume ya Taifa ya Mipango wakiwasilisha Rasimu ya Dira ya maendeleo ya mwaka 2050 na Sheria zinazoiongoza Tume hiyo kwa wataalamu wa mipango kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kikao kazi cha maandalizi ya mpango wa bajeti kwa mwaka 2025/26 kwa Wataalamu kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kinachoendelea Jijini Dodoma.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa