Mkuu wa Mkoa wa Tanga mhe Balozi Dkt Batilda Burian ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kwa kufikia lengo katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya kwaza na kuwataka wananchi waendelee kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao katika awamu hii ya pili iliyoanza leo tarehe 16 mei 2025.
Ameyasema hayo leo wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Mkoa wa Tanga iliyoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa Rajab Abdallah walipotembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa