Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe. Zuberi A. Maulid akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Wilayani Pangani mapema leo tarehe 25 Aprili 2025.
Mhe. Zuberi A. Maulid amezindua mradi wa ujenzi wa madarasa 04 ya kidato cha tano na sita na matundu 07 ya choo Shule ya Sekondari Bushiri ambapo jumla ya shilingi milioni 116 zimetumika.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa