Ufugaji wa kisasa wa Ng'ombe wamnufaisha ndgu John Peter Semkande
Ndg John Peter Semkande mfugaji wa Ng'ombe wa maziwa, Wilayani Pangani akilisha Ng'ombe wake kwa kutumia mashine maalumu ya kuchakata malisho ya Ng'ombe (topping mashine)
Aidha ndg Semkande amebainisha kuwa mashine hiyo inamrahisishia kazi na pia inamuongezea uzalishaji wa maziwa kwa wingi.
Miongoni mwa vifaa vya kisasa anavyotumia katika kukamilisha shughuli zake ni pamoja na pikipiki ya miguu mitatu(guta) .
Ametoa wito kwa wafugaji kushirikiana na wataalam wa masuala ya mifugo ili kuweza kufuga kwa faida na ubora zaidi
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa