Habari picha
Zoezi la upandaji wa miti aina ya mikoko likiwa linaendelea leo Julai 25,2024 wakati wa Maadhimisho Siku ya Mashujaa Wilayani Pangani

Jumla ya miti 200 imefanikiwa kupandwa ikiwa ni zoezi la uhifadhi wa Mazingira.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa