Wageni mbalimbali wanaendelea kutembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Pangani katika Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki, Morogoro wakijifunza na kujionea bidhaa mbalimbali zinazotokana na sekta za kilimo, mifugo na uvuvi."
Kauli mbiu: "Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025."
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa