Timu ya Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ikijumuisha Waheshimiwa Madiwani pamoja na Wataalamu wamewasili Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, mapema leo tarehe 20, Desemba 2024, kwaajili ya ziara ya kujifunza namna, Halmashauri hiyo imetekeleza na kunufaika na Biashara ya hewa ukaa.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa