WATUMISHI wafanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Wilaya, Pangani.
Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndug Daud Mwakabanje ameongoza zoezi la Usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Pangan, Ikiwa ni Utekelezaji wa Maagizo ya Serikali ya Kufanya usafi wa Pamoja.
Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 06.12.2024 katika Hospitali ya Wilaya ya Pangani.
Akizungumza mala baada ya kukamilika kwa zoezi la usafi wa mazingira, Mwakabanje amehamasisha maafisa Afya Mazingira kuendelea kuhamasisha wananchi kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Soko na Maeneo ya wazi ili kuweka mji wa Pangani safi.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa