WAWAPA Yawanufaisha Wafugaji Pangani
Umoja wa Wafugaji Wadogo Wadogo wa Ng’ombe wa Maziwa Pangani (WAWAPA) umeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa wafugaji wilayani Pangani kwa kuwawezesha kupata elimu ya ufugaji bora, kupitia ushirikiano na taasisi mbalimbali, WAWAPA imefanikiwa kuwasaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa, kipato na maisha bora kwa familia zao.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa