Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji( Katikati) amewasili Wilayani Pangani leo Oktoba 24, 2024 ambapo Waziri amepata nafasi ya kutembelea, kukagua, na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba ya Afisa Ugani kata ya Masaika.
Mhe Dkt Kijaji ameambatana na mkuu wa Mkoa wa Tanga mhe Balozi Batilda Burian pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa