UFUGAJI NYUKI
Ufugaji nyuki ni shughuli mojawapo ya kiuchumi katika Halmashauri ya wilaya ya pangani ufugaji nyuki husaidia sana katika utunzaji wa mazingira kwa kufanya uchafushaji wa mimea ya mashamba ya misituu pia Asali na Nta ni mazao yenye kuingiza kipato kwa wafugaji nyuki
Mazao yatokanayo na ufugaj nyuki
Hadi sasa Halmashauri ya wilaya ya pangani ina mizinga ipatayo 1840 ambapo mizinga 980 ni mizinga ya kisasa na mizinga 860 ni mizinga ya kienyeji mizinga yote hiyo humilikiwa na vikukundi vya ufugaji nyuki.
Halmashauri ya wilaya Pangani ina jumla ya vikudi 38 vya ufugaji nyuki vyenye jumla ya wafugaji nyuki wapatao 400.
Wilaya ina MANZUKI zipatazo 16(maeneo ,mashamba ya ufugaji nyuki)MANZUKI 8 yanapatikana katika maeneo ya mikoko katika vijiji vilivyopo kandokando ya bahari yenye ukubwa wa takribani hekta 3500
MANZUKI 8 hupatikana katika misitu mbalimbali ya vijiji vyenye ukubwa wa takribaki hekari 31,000
Matarajio ya badae katika kitengo cha ufugaji nyuki
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa