JINSI YA KUUNDA CHAMA CHA USHIRIKA
Uundaji wa chama cha ushirika hautofautiani kulinganana na aina ya vyama,aidha vyama vya ushirika vya kuweka na kukopa (SACCOS) ,Vyama Vya Mazao(AMCOS),ushirika wa maziwa.
1. Mkutano mkuu wa wanachama watarajiwa ambapo watatamka rasmi azma yao ya kuunda ushirika na kuchagua kamati ya uanzilishi
2. Mkutano mkuu wa pili ambao utapitisha rasimu ya katiba,makisio ya mapato na matumizi,Maombi ya kuundikishwa kwa Mrajis wa vyama vya ushirika
3. Maombi ,Katiba pamoja na kumbukumbu zote kwa ajili ya kusajiliwa kutuma kwa Mrajis wa vyama vya ushirika
4. Mkutano Mkuu wa kupokea hati ya usajili kutoka kwa Mrajis kama itakavyowakilishwa na kamati ya uanzilishi ,
5. Bodi kupata mafunzo kabla ya kuanza kazi
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa