TARATIBU ZA NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA
1.KUJAZA FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
2.AMBATANISHA NA HATI YA MLIPA KODI TIN NO.
3.KUWA NA KIBALI CHA MLIPA KODI (TAX CLEARENCE)
4.AMBATANISHA NAKALA YA KUANDIKISHA JINA LA BIASHARA (REG. CERTIFICATION)
5.KUSAJILIWA KWENYE MTANDAO WA SERIKALI ZA MITAAA
6.KULIPIA ADA YA LESENI BENKI
7.KUPEWA STAKABATHI YA KIELEKRONIKI
8.KUPEWA LESENI YA BIASHARA
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa