Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mheshimiwa Gift Isaya Msuya, ameonyesha ushirikiano mkubwa kwa vikundi vya wanawake katika Wilaya ya Pangani kwa kutembelea na kukagua bidhaa mbalimbali zilizoletwa na vikundi vya wanawake kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimataifa.
Tukio hili limefanyika leo, Machi 6, 2025, katika Viwanja vya Shule ya Msingi Funguni, na linadhihirisha juhudi za wanawake katika kuonyesha ujasiriamali wao na mchango wao katika maendeleo ya jamii.
" Wanawake na Wasichana 2025, Tuimarishe haki, Usawa na Uwezeshaji".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa