Maadhimisho ya siku ya lishe kijiji cha Masaika 27/02/2024
jumla wa watu waliohudhuria ni 41, ambapo me 15, ke 26
watoto chini ya Miaka mitano =42
ke,17, me 25
Majibu ya kipimo cha Muac watoto wote wamepimwa kipimo hicho, hakuna alama nyekundu wala njano, wote ni kijani
wataalam wa kata afisa kilimo, afisa mifugo pamoja na muuguzi wa zahanati ya Masaika wametoa elimu juu ya ulaji wa chakula, pamoja na umuhimu wa chanjo.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa