Serikali ya awamu ya Sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuboresha mazingira bora ya huduma za afya ikiwa ni pamoja na kuboresha na kukamilisha ujenzi na ukarabati wa Miundombinu ya kutolea huduma (Majengo, Vifaa tiba na Watumishi).
Pichani ni miundombinu ya vyoo, pamoja na kichomea taka katika Zahanati ya Kigurusimba iliyopo kata ya Masaika Wilaya ya Pangani, Zahanati ambayo wananchi wanaendelea kunufaika na huduma zinazotolewa.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa