Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM cde Rajabu Abdurrahman Abdallah amewasili leo Julai 4,2024 na kusalimiana na viongozi pamoja na wananchi wa Wilaya ya Pangani baada ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa