Halmashauri ya Wilaya ya Pangani imeadhimisha sherehe za Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupanda jumla ya miti 300 viwanja vya Bomani na Kumba na maeneo ya jirani leo tarehe 26 Aprili 2025.
Aidha kwa wiki nzima ya upandaji miti ( Arbour week) ambayo imehitimishwa leo, ambapo jumla ya miti laki moja na hamsini imefanikiwa kupandwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Pangani.
Kauli mbiu " Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa, Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025’.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa