Timu ya Watumishi Pangani imeibuka mshindi kwa goli 1–0 dhidi ya Timu ya Watumishi Singida DC katika mchezo wa mashindano ya SHIMISEMITA, uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, Jijini Tanga.
Bao pekee la mchezo huo lilifungwa katika dakika za mwanzo za kipindi cha pili,kwa mkwaju wa Penati likiipa Pangani alama tatu muhimu na kuongeza morali ya wachezaji kuelekea michezo inayofuata.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa