Kura yako ni muhimu Jitokeze Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba 2024, Kumbuka kuwa Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
Kituo chako cha kupigia kura ni pale pale ulipojiandikisha wakati wa zoezi la Uandikishaji wa orodha ya Wapiga kura wa Serikali za Mitaa
" Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa