Milioni 584.28 zatumika Ujenzi wa Shule mpya ya kata kupitia ufadhili wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) awamu ya tatu katika kata ya Pangani Mashariki, Wilayani Pangani.
Hivi sasa, majengo yote ya shule yako katika hatua ya umaliziaji.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa