Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega amewasili wilayani Pangani mapema leo Januari 2, 2025 kwaajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la mto Pangani.
Aidha mhe Ulega ameambatana na mkuu wa Mkoa wa Tanga mhe Balozi Dkt Batilda Burian pamoja na waziri wa Maji ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Pangani mhe Jumaa Aweso.
Mhe Ulega amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mradi huu kufanikiwa na kumtaka mkandalasi afanye kazi kwa weledi na ubora.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa