Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Pangani tarehe 16 Februari 2026.

Katika ziara hiyo, Mhe. Dkt. Mwigulu atakagua Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani, pamoja na Ujenzi wa Shule ya Msingi Stahabu,kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Wananchi wote mnakaribishwa kushiriki.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa