Wananchi na Wapiga Kura wamejitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga Kura Wilayani Pangani leo tarehe 16 Mei 2025, ikiwa ni mwanzo wa zoezi hilo kwa awamu ya pili.
Aidha zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litadumu kwa muda wa siku saba kuanzia tarehe 16 _22 Mei 2025.
" Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa