SWIOFish ni Mradi wa kikanda unaotekelezwa katika Nchi Tatu za Tanzania, Msumbiji na Comoro katika awamu ya kwanza ya miaka 6 Mradi huu umeanza kutekelezwa 22 Juni 2015, chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia kwa thamani ya US $ 36 milioni Mradi unatekelezwa Tanzania Bara na Zanzibar;
Watekelezaji wakuu wa mradi huu ni :-
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Tanzania Bara),
Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Zanzibar) na
Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi Bahari Kuu.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa