UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SHULE YA SEKONDARI YA TONGANI
LENGO KWA MWAKA
Kujenga vyumba 4 vya madarasa, Mabweni 2, matundu 10 ya vyoo na kukarabati vyumba vya maabara za sayansi kwa ajili ya Kidato cha V-VI
HALI HALISI YA UTEKELEZAJI
Ujenzi unaendelea na upo katika hatua ya:-
madarasa-umekamilika isipokuwa vioo na umeme
- mabweni- bweni moja hatua ya kuezeka na lingine kujenga boma karibu kufikia linta
-choo hatua ya linta
maabara vyumba vitatu mchakato ulisimama kwa ajili ya uchunguzi na tunakusudia kuomba kibali kwa RAS ili tuendelee.
GHARAMA ZA MRADI
259,000,000
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa