siku ya kuwekwa : January 7th, 2026
Wakazi wa Kijiji cha Buyuni wilayani Pangani wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuboresha huduma za afya kupitia ujenzi wa zahanati mpya kijijini hapo.
...
siku ya kuwekwa : January 6th, 2026
Taarifa kwa umma kuhusu mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu.
Mwisho wa maombi ni tarehe 05 Februari 2026
https://www.instagram.com/p/DTLK1qJDBXb/?...
siku ya kuwekwa : January 5th, 2026
YALIYOJILI MWAKA 2025 – HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI
Sekta ya Kilimo.
Ujenzi wa nyumba ya Afisa Kilimo Kata ya Masaika ni miongoni mwa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Serikali kati...